Sunday, 12 February 2017

SORRY MADAM -Sehemu ya 29 & 30 (Destination of my enemies)

SORRY MADAM -Sehemu ya 29 & 30 (Destination of my enemies)

ILIPOISHIA
“Muheshimiwa kama ni ushahidi basi hiyo kazi niachie mimi, nitahakikisha nay eye tunamfanya kama tulivyo mfanya baba yake”
 
Wote watano akiwemo raisi Praygod wakajikuta wakitabasamu wakiamini mpango wao umekwenda sawa sawa, lakini yote yaliyo kuwa yakiendelea ndani ya ofisi hiyo Rahab aliweza kuyasikia, hii ni baada ya kuingiza kinasa sauti kwenye suti ya mumewe pasipo yeye kujijua wakati akiwa anamuandaa wakati wa asubihi akielekea kwenye kikao hicho na washauri wake. 

Job Opportunity at SDL, Site Service Delivery Lead

Job Opportunity at SDL, Site Service Delivery Lead

SERVICE DELIVERY LEAD (SDL) – Dar-es Salaam

Background of the Role

The SDL role is accountable for IS Service Management and Service Delivery within the country. A core element of this role is to support the operational activities related to technical infrastructure services in Dar es Salaam, Moshi, Mwanza and other selling points.

Majina Ya Wanafunzi Waliopata Mkopo Baada Ya Kukata Rufaa Bodi Ya Mikopo 2016/2017

Bodi ya Mikopo imetangaza majina ya wanafunzi waliofanikiwa kupata mkopo baada ya kukata rufaa.


Rais Magufuli ataka Watanzania waliofungwa nje kwa dawa za kulevya waachwe sheria zichukue mkondo wake

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, ameviagiza vyombo vyote vya ulinzi na usalama kuongeza nguvu katika mapambano dhidi ya dawa za kulevya kwa kuhakikisha vinasimamia sheria ipasavyo ili kukabiliana na tatizo hilo hapa nchini.

Saturday, 11 February 2017

Gigy Money-Wengi Walikuwa Wananishangaa Navyopiga Picha za Nusu Utupu..Ila Leo Nimekuwa Staa

Gigy Money-Wengi Walikuwa Wananishangaa Navyopiga Picha za Nusu Utupu..Ila Leo Nimekuwa Staa

Hivi ni Kwanini Wanawake Wengi Hujivunia Sana Makalio Yao?

Angalia hata picha wanazopiga wanawake utaona jinsi wanavyojibinua ili wanaonekane wana makalio makubwa.

Hata wakati wa kutembea pia wengine hutembea tofauti ili kuhakikisha kuwa makalio yake yanatikisika na ndio maana hata wengine hudiriki hata kutumia dawa za mchina ili kukuza makalio yao na hata baadhi yao wakati mwingine hujigamba kuwa eti wanamshukuru Mungu kwa kuwapa hips kubwa na wakati mwingine husikika wakisema eti mwanamke inye. 

Pamoja na Kumuhusisha na Madawa ya Kulevya,TID Amfuata Makonda Hadi Nyumbani Kwake,Haya Ndiyo Aliyomueleza..!!!

Pamoja na Kumuhusisha na Madawa ya Kulevya,TID Amfuata Makonda Hadi Nyumbani Kwake,Haya Ndiyo Aliyomueleza..!!!


Mapema jana Mwanamuziki Khalid Mohamed maarufu kama "Top In Dar" (TID) ambaye alikuwa miongoni mwa watu wa kwanza kuitwa polisi kwa mazungumzo ya tuhuma zake kuhusu anavyohusika na madawa ya kulevya, alifika nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda kwa ajili ya kumsalimia na mazungumzo ya kawaida