Saturday, 11 February 2017

Gigy Money-Wengi Walikuwa Wananishangaa Navyopiga Picha za Nusu Utupu..Ila Leo Nimekuwa Staa

Gigy Money-Wengi Walikuwa Wananishangaa Navyopiga Picha za Nusu Utupu..Ila Leo Nimekuwa Staa


Niwakumbushe kitu mlisemaga sitokua star kipindi kile naaanzaaa hustle zangu yes am not a star but am morethan a star am đŸ‘‘ueen of queens ......nawengine walikua wananishangaa why napiga picha half nude kikubwaaa sasa sikuiz nawao wanapiga wengine ndio mnawaita mastar wenu gigy ndio star wewe wana ni copy đŸ˜‚ wana copy copy wana ni copy .....#mimindiorolemodelwaođŸ˜‚ SIMKUBALI TU HATERS COZ U GUYS MAKE ME FAMOUS

No comments:

Post a Comment